dereva wa uber

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. village66

    Mimi ni dereva wa UBER, bolt, farasi natafuta gari ya hesabu

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
  2. Ene_transporter

    Natafuta gari ya hesabu wa Uber na Bolt

    Ah naitwa Ernest. Natafuta gari ya hesabu. Haijalishi ni namba ya private au commercial. Na leseni class C. Na uzoefu wa miaka 4 kwenye Uber n Bolt. No yangu: 0783610244 0783610244 0783610244
Back
Top Bottom