dereva anatafuta bajaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Eric

    Dereva anatafuta bajaji ya mkataba

    Kuna dereva anatafuta bajaji ya kuendesha ya mkataba kwa maeneo ya dar es salaam.. Yupo tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya dar es salaam. Ni dereva mwaminifu. Terms na vigezo vya mkataba vitaongeleka baada ya kukutana. Kama unabajaji na unapata changamoto ya dereva PM yangu ipo wazi.
Back
Top Bottom