dawa muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Responded Zahanati ya Kimara iongezewe dawa muhimu, kuwaambia wagonjwa wakanunue dawa nje ya kituo sio sawa

    Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika. Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
  2. T

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  3. K

    Nataka kuagiza dawa inayoitwa Enclomiphene

    Wadau nina shida na dawa moja lakini nimetafuta kwa hapa Tanzania haipo nataka kuagiza India naomba mwenye connection ya huko anisaidie au kama kuna mtu huwa anaagiza vitu huko anisaidie niwasiliane nae. Naomba kuwasilisha wakuu.
  4. L

    Ninahitaji kufungua duka la dawa muhimu

    Habari Naomba kujua wapi naweza kupata/kusoma kozi ya kuuza duka la dawa muhimu (addo) kwa dar es salaam, gharama za kozi na inachukua mda gani?
  5. A

    DOKEZO Maduka ya Dawa Muhimu bado wanaendelea kuuza Antibiotics bila kufuata utaratibu licha ya kutolewa kwa katazo

    Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo? Wenye Famasi wanahangaika kupata mapato na gharama za uendeshaji ni mkubwa tofauti na DLDM. Tunaomba mamlaka...
Back
Top Bottom