Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila, alisisitiza kuwa migogoro mikubwa ya dunia siku za usoni haitatokana na mafuta au gesi, bali maji. Watafiti wanasema huenda Vita ya Tatu ya Dunia ikapiganwa kwa sababu ya...
Kamishna wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi, Davidi Kafulila, ametoa tathmini yake ya Bunge la 12 kuwa lenye mafanikio makubwa kwa kuisimamia Serikali ya Awamu ya Sita kuwa na mafanikio kuliko awamu zilizopita.
Kafulila amesema kuwa moja ya mikakati ya kupunguza umasikini nchini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.