Daniel Francisco Chapo (born 6 January 1977) is a Mozambican politician, lawyer and jurist. Chapo previously served as the governor of Inhambane Province from 2016 to 2024. Chapo was the candidate of the ruling political party, FRELIMO, for the 2024 presidential election and is also the Secretary General of his political formation currently.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.
Pia Soma: Rais Daniel Chapo awasili Zanzibar...
RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi
Akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume amepokelewa na Waziri wa Nchi...
Licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu ya Msumbiji mapema wiki hii kuthibitisha Daniel Chapo wa chama tawala cha Mozambique Liberation Front (Frelimo) kuwa mshindi wa uchaguzi wa Oktoba 9, kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane ameapa kujitangaza rais Januari 15, akidai kuwa mamlaka yake yameporwa...