daladala buza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bani Israel

    KERO Responded Kituo kipya Buza kwa Mama Kibonge ni mradi wa nani? Mnatesa Wananchi kwa maslahi ya nani?

    Kituo cha Buza Kanisani hiki kilijengwa kwa nia nzuri ila tamaa za mapato na kukosa utu zinageuka kuwa mateso kwa abiria. Tarehe 18/2/2026 kama ilivyo mwaka jana viongozi wa eneo hili wakitumia askari wa jiji wamenza tena kulazimisha daladala kuishia hapa kwenye hili kituo hii inatokana na kuwa...
  2. oko majimaji

    Kero ya usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza

    Habari Mabibi na Mabwana. Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa daladala kutokea maeneo tofauti kwenda Buza gari zilikuwa zinaenda hadi Buza Kanisani ( mwisho wa gari)...
Back
Top Bottom