Baada ya mdau mmoja wa JamiiForums.com kudai kuwa mgonjwa wao amekaa zaidi ya wiki mbili katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akisubiri kufanyiwa upasuaji, huku wakielezwa kuwa kuna vifaa vinasubiriwa, jambo linaloongeza gharama kwa familia, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...