Natafuta watu mbalimbali wa kufanya nao bishara wa dagaa nyama .mimi nipo kilwa nazalisha dagaa nyama nimeanza mda kidogo lakini sina wateja wa kutosha natamani nipate mtu kwa baadhi ya sehemu nice nawapelekea mzigo sehemu kama dar es salaam. Kibaha morogoro dodoma chalinze na kwengine
Habari wakuu!
Nimeelekezwa na mtu kwamba Zanzibar (visiwani) dagaa nyama wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa / ndoo ndogo na kuendelea. Please! Nahitaji connection ya muuzaji hao dagaa aliyeko huko visiwani. Mimi nipo Dar es salaam. Mwenye namba za huyo mtu naomba.
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.