daftari kudumu kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    PreGE2025 Responded Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Wananchi ambao mnaboresha taarifa na kuhama vituo fanyeni mchakato mtandaoni ukienda kituoni inakuwa ni kumalizia tu

    Wakuu, Zoezi la kupiga kura linaendelea sasa hivi na malalamiko ya foleni yamekuwa mengi. Sasa kwa wale ambao wamewahi kujiandikisha kabla na unataka kuboresha taarifa au kuhama kituo kuna urahisi kiasi. Unaweza kuanzia mchakato mtandaoni ambako utatakiwa kuweka namba yako ya kitambulisho...
  3. Suley2019

    PreGE2025 Watanzania watakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye Dafrari la kudumu la Wapiga Kura

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ametoa wito kwa Watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza kwa wingi katika vituo ili kupata...
Back
Top Bottom