Maambukizi ya Corona Virus barani Afrika yamefikia 134 baada ya maambukizi mapya manne kuripotiwa Afrika Kusini leo. Hadi sasa watu watatu wamefariki dunia kutoka nchi za Misri, Morocco na Algeria.
Misri ina idadi kubwa zaidi ya waathirika ikifuatiwa na Algeria
====
As coronavirus continues to...