costantine kanyasu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu achukua fomu ya kutetea jimbo lake

    Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu leo Jumatatu Juni 30, 2025 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Geita mjini. Kanyasu amehudumu katika Jimbo la Geita kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2015...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Kanyasu aeleza Mafanikio ya uongozi wake katika Jimbo la Geita

    Mbunge Kanyasu Aeleza Mafanikio na Changamoto za Maendeleo Jimboni Geita Mbunge wa Jimbo la Geita, Costantine Kanyasu, amesema zaidi ya zahanati 40 zimejengwa katika jimbo hilo katika kipindi cha uongozi wake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Geita yamtaka Mbunge Kanyasu aombe radhi vijana kwa kauli zake

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi. Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya...
Back
Top Bottom