Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.