coco beach haiuzwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mwigulu: Coco Beach haiuzwi, ni ya Wananchi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji yeyote bali maboresho yatafanyika kwa manufaa ya wananchi waliopo katika eneo hilo. Amesema hayo leo, Machi 29, 2026, alipotembelea eneo la Coco Beach jijini...
Back
Top Bottom