coaster kibonde

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Coaster Kibonde: Natamani sana Rais Samia aniteue kuwa Kiongozi katika Serikali yake

    Bwn Kibonde alisema yeye akiwa Rais wa Tanzania atampa ajira Rais Samia, lakini baada ya kubwagwa kwenye nafasi hiyo amepeleka huruma sasa apewe uteuzi. Jinsi Samia anavyopenda sifa basi anaweza kumpa uteuzi wa hata katibu tawala wa wilaya =============== Aliyekua Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya...
  2. PAYE

    GE2025 Coaster Kibonde atembelea familia ya Mwalimu Nyerere, aweka shada kaburini

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Makini, Coaster Kibonde ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere na kuzuru kaburi lake. Akiwa nyumbani hapo Kibonde ametoa shukrani kwa familia ya Nyerere yake kwa mapokezi huku akisema njia pekee ya kumuenzi mwalimu Nyerere ni...
  3. Mafyangula

    GE2025 Kibonde: Nikiingia ikulu nitanunua Bombadia 70 ili kila Mtanzania apande ajisikie raha

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde, amefika mkoani Tabora kunadi sera za chama hicho, akisema kuwa endapo watapewa ridhaa ya kuongoza nchi, wataimarisha sekta mbalimbali ikiwemo afya na miundombinu ya usafiri wa anga ili...
  4. Just Pray

    GE2025 Coaster Kibonde: Polepole anatuita wanasiasa uchwara kisa nimesema nitampa kazi Rais Samia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini Dar es Salaam amvaa vikali Humphrey Polepole kisa kauli yake ya akishinda Urais atampa kazi Rais...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea urais Chama cha MAKINI: Mkinichagua ndani ya siku 100 za kwanza nitafanya mabadiliko kidogo ya katiba ya Tanzania

    Serikali ninayokwenda kuiunda nitaunda serikali ya umoja ya kitaifa ambapo ahadi yangu kwa Tanzania baada ya kuchagua kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya siku 100 za kwanza nitafanya mabadiliko kidogo ya katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania ili tu iweze kutambua...
  6. tonicimmobility

    GE2025 Kibonde: Sitapunguza Mishahara Wala Posho za Watumishi Nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema hatua hiyo inalenga kuongeza morali kazini na kuzuia tamaa ya rushwa ambayo mara nyingi huzaliwa...
  7. mwanamwana

    GE2025 Coaster Jimmy: Kauli yangu ya kumuajiri Rais Samia si utani, atashughulikia Diplomasia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde amezidi kusisitiza kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa kumpa nafasi maalumu ya kushughulikia...
Back
Top Bottom