coach fadlu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
  2. Coach Fadlu Davids alimhitaji Balla Conte, viongozi wa Simba wana Imani na Kagoma

    Uzembe wa viongozi wetu wa Simba. Leo Balla Conte amesaini Yanga Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi Viongozi wao wanahitaji Kagoma Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
  3. Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

    Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita). Tuna expect kukutana na Mamelodi,Ahly,Esperance,Wydad na berkane! Hakuna muunganiko kuanzia nyuma kuja katikati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…