Nimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa wanamzoom TU ila napata mashaka sana watamdhuru, timu yangu ya ma CIA makachero wakujitegemea wamemuomba...