clatous chama

Clatous Chama, sometimes reported as Cletus Chama, (born 18 June 1991) is a Zambian footballer.Who currently playing for simba football club and Zambian national team

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    Simba Sc wamemrejesha Clatous Chama kuokoa Jahazi

    Klabu ya Simba SC imemrejesha rasmi kiungo wake wa zamani, Clatous Chama, akitokea klabu ya Singida Black Stars. Hii ni mara ya tatu kwa Chama kujiunga na wekundu wa Msimbazi, baada ya awali kuwasili kwa mara ya kwanza akitokea Lusaka Dynamos FC ya Zambia, kisha kusajiliwa tena akitokea RS...
  2. GENTAMYCINE

    Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  3. Just Pray

    Picha: Kiss bojobojo la Clatous Chama kwa mpenzi wake

    Love is beautiful thing 🥰❣️ Je, wewe na huyo mwenzako mnaenjoy na kupata vitu vitamu kama hivi???
  4. GENTAMYCINE

    Mwambieni Chama wenu aache kumsumbua tajiri Mo Dewji kwa kumpigia simu na kumuomba aje amalizie mpira Simba SC

    Siku ya Jumatatu Mo alivyotua tu kutoka Dubai anakoishi sana Chama anamsumbua tu hadi Mo kukereka. Abaki Yanga SC.
  5. M

    Aliyefuta picha zote za Yanga leo aifungia goli 2, hana furaha kabisa pale Yanga

    Ni mwamba Clatous Chota Chama kaingia kambani mara 2 dhidi ya Mashujaa! Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni🤣🤣🤣 Na sisi tunasema hana furaha kabisa anarudi ukoloni keshokutwa tu hapo!
  6. GENTAMYCINE

    Ole wenu Uongozi wa Simba SC mumrudishe Mnafiki na Msaliti mkubwa Clatous Chota Chama Msimu huu ukimalizika

    Nina taarifa za uhakika kuwa ameshawaomba Radhi Waandamizi wa Simba SC na kuomba kurejea Simba SC 2025/2026.
  7. M

    Clatous Chota Chama bado anahitajika sana ndani ya timu yetu Simba, Yanga wameshindwa kunufaika naye

    Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba, uwezo wake ulitufanya tumnunue tena toka Berkane na kumrudisha nchini. Heshima aliyojitengenezea akiwa...
  8. M

    Kihasibu, Chama ni hasara Kwa Yanga, uchambuzi ni huu hapa

    Kama kawaida ya wahasibu wa Tanzania, ambapo hua tunasomea na kuchambua mpira, Mambo ya kihasibu, yaani kuhesabu mafaranga njoo kama vile tuliwachambulia Kwa Aziz Ki. Kwahiyo uelekeo wa CPA ndio unaonesha yote hayo, Haya mambo hamuwezi kuyaelewa ninyi Yanga, na hamtoelewa. Yaani uhasibu ni...
  9. William Mshumbusi

    Leo nataka mje mtuambie Sasa Kati ya Pacome na chama Nani mkali? Na Nani ni mrithi wa chama pale Simba

    Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi. Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa. Chama now sio mchezaji. Anaweza kuwa assistant coach au kocha kamili wa viungo washambuliaji na...
  10. Nehemia Kilave

    Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

    Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
  11. J

    Mzize avunja ukimya pasi ya Chama, asema picha linakuja

    Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
  12. B

    Maajabu ya mchezaji Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona. Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka...
  13. GENTAMYCINE

    Ugeni 'Umedoda' kwani haujawashtua wengi kwakuwa wenye kuujua mpira walitarajia lililotokea

    Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru. === Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  14. T

    Sasa tuone kama Simba itakufa

    Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji! Hongera SSC kwa operation hiyo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

    Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024. Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
  16. L

    Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini siumii na sitoumia Chama akiachwa Simba SC? Hajafikia hata 35% ya Uwezo mkubwa aliokuwa nao Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino'

    Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie? Watoto wa leo...
  18. Frank Wanjiru

    Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

    Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  19. GENTAMYCINE

    Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa achaneni na Inonga na Chama kwani wapo zaidi yao kama mkitulia na kuwatafuta

    Yaani natamani Siku nipate bahati ya kukutana na Viongozi wa Simba SC ili niwapige vibao kwa hasira kwani wananikera hadi basi. Niwaambieni mara ngapi nyie Viongozi wa Simba SC na mnielewe? Inonga na Chama ni virusi wakuu ndani ya Wachezaji wa Simba SC kwanini mnawabembeleza hivi ili kuwabakiza...
  20. Smt016

    Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama

    Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani. Haya ni mapungufu ya Chama 1)...
Back
Top Bottom