Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga (21), ameweka rekodi ya dunia ya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya mpira wa miguu wa wanawake baada ya kusajiliwa na klabu ya Washington Spirit inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Marekani (NWSL), akitokea Al Nassr ya Saudi...