Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂
Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji! Mtu hawezi kukalia meza masaa matatu kwa matumizi ya shilingi elfu moja au elfu mbili huku wateja...