Kampeni ya ‘Chupa la Machupa’ imepelekwa rasmi Forodhani, Zanzibar, kuleta msisimko mpya katika mandhari ya eneo hili maarufu mjini Zanzibar.
Forodhani ni eneo lililopo katikati ya Mji Mkongwe, kati ya Jumba la Makumbusho na Ngome Kongwe, ni kivutio kikubwa cha wageni na wenyeji kila jioni...
DAR ES SALAAM, Tanzania – Kampuni ya Coca-Cola imezindua kampeni mpya iitwayo “Chupa la Machupa”, yenye lengo la kuwazawadia mamilioni ya wateja wa vinywaji vya Kampuni hiyo.
Kampeni hii, inayowalenga zaidi watumiaji wa chupa za glasi zenye ujazo wa mililita 350, inalenga kuwanufaisha wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.