chuo kikuu cha harvard

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Harvard vs Trump (2025): Vita kuu kati ya elimu na madaraka ya serikali

    HARVARD vs TRUMP (2025): VITA KUU KATI YA ELIMU NA MADARAKA YA SERIKALI Na Goodluck Maleko J “Kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani ya kisasa, chuo kikuu kinapambana moja kwa moja na serikali kuu kuhusu kile kinachofundishwa, nani anayefundisha, na nani anaruhusiwa kujifunza. Harvard...
  2. Kisesetusese

    Chuo kikuu Cha Harvard chashutumiwa

    Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi. Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
  3. Just Pray

    Serikali ya Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa

    Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo. Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Maprofesa wa Marekani waishtaki Serikali ya Trump kwa kutishia kuzuia Ufadhili wa dola bilioni 8.7 kwa Chuo Kikuu cha Harvard

    Kundi la maprofesa wa Marekani limeishtaki serikali ya Donald Trump kutokana na kitisho chake cha kuzuia ufadhili wa serikali wa dola bilioni 8.7 kwa Chuo Kikuu cha Harvard. Kesi hiyo, iliyowasilishwa na Chama cha Waprofesa wa Vyuo Vikuu vya Marekani (American Association of University...
Back
Top Bottom