China na nchi za Afrika zimekuwa na uhusiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na uhusiano huu unagusa maeneo mbalimbali ikiwemo elimu, biashara na uchumi, sayansi na teknolojia, ujenzi wa miundombinu, kilimo, na maeneo mengine mengi. Kupitia ushirikiano kati ya pande hizo mbili, nchi nyingi za Afrika...