chatgpt vs deepseek

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu Lean Feng Wang, mmiliki wa AI ya Deep Seek ambayo ni tishio kubwa kwa CHATGPT

    Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia, jina moja limeibuka na kutikisa ulimwengu wa Akili Bandia (AI) kwa namna isiyo ya kawaida – Lean Feng Wang. Mwanakijiji huyu kutoka M Ling, jimbo la Guangdong, China, alikuwa asiyejulikana hadi wiki chache zilizopita, lakini sasa dunia nzima...
  3. JamiiForums Tanzania ChatGPT vs DeepSeek

    Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia. Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia vifaa vya bei rahisi kuendesha mfumo wake, lakini cha kuchekesha nilichogundua ni kama china...
  4. JamiiForums Tanzania DeepSeek ni AI iliyokunywa maji ya bendera ya chama cha Kikomunisti China

    Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…