Habari wana JF, nimewaletea mrejesho wa tangia pale nilipoamua kuacha hii kitu tar 14 Oct hadi asubuhi ya leo hii tar 18 Oct
Sijui nianzie wapi, lakini kiufupi nimeona ni kama kuna kitu kinapungua kwenye maisha yangu ya kila siku, sio kwamba labda nilizidiwa kiviile, hapana! Yaani nilijikuta tu...