chanuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

    Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona. Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
  2. JamiiForums Tanzania YJ Kiboko; Bora Mbuzi Utakula Nyama Kuliko Chanuo Atakuchanua Ngozi

    Msanii wa Bongo Flava, YJ Kiboko, ameibuka na kufunguka kuhusu taharuki inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha yeye na aliyekuwa mke au mpenzi wake, Chanuo. YJ Kiboko ameeleza kuwa amekuwa akipokea simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakimuuliza kuhusu maneno na matusi...
  3. JamiiForums Tanzania YJ amjia juu CHANUO baada ya kutoboa siri zake za chumbani

    Mtafaruku wa kimahusiano kati ya muigizaji mashuhuri wa Bongo Movie, Chanuo Nchakali, na aliyekuwa mpenzi wake wa hivi karibuni, mwimbaji YJ bado waendelea. Chanzo cha sintofahamu hii kilianza baada ya YJ kuandika barua ya wazi kwenye mtandao wa Instagram kwenda kwa baba watoto wa Chanuo...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo Yazidi Kuwa Moto: "Aunti Lulu" Athibitisha Chanuo Kutoa Mimba na Kumshambulia Aliyekuwa Mume Wake

    Aunti Lulu alieleza kusikitishwa kwake na vitendo vya Chanuo vya kurusha kashfa na kumtukana aliyekuwa mume wake kwenye mtandao wa Instagram, ikiwa ni pamoja na kudai kuwa mwanaume huyo ameishiwa fedha za kurudi Dubai na kutoa siri za ndani kama vile kudai kuwa anakoroma wanapolala . Pia, Aunti...
  5. JamiiForums Tanzania Mpoki amchamba Chanuo baada ya kufichua siri za aliyekuwa mume wake

    Mchekeshaji Mpoki anafafanua kwa utani mzigo mkubwa wa gharama anaobeba mwanaume kwenye mahusiano, kuanzia hatua za mwanzo za kutongoza na kutoa nauli, hadi kununua pete ya uchumba na kuandaa sherehe . Anaeleza kuwa katika maisha ya ndoa, mwanaume hubeba gharama za kodi, umeme, gari na saluni...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke anamtukana na kumsema vibaya sana Ex wake ishi nae Kimasta, mjifunze kutoka kwa Chanuo

    Huyu demu alikuwa mke wa Madebe. Juzi alipost picha zake za zamani, watu wakamuonea huruma wakisema maisha aliyokuwa anaishi kipindi hicho yalikuwa yamemchosha sana. Cha kushangaza, yeye mwenyewe alikuwa akimsema sana Madebe. Alikuwa akidai Madebe ni mchafu, ananuka na kumtaja kwa maneno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…