changamoto ya mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Hali mtandao kuwa mbovu wiki hii kuna nini?

    Hii shida ya mitandao ya simu imekuwa sikio la kufa kila siku linazuka jipya. Hasa mitandao ya Yas na Airtel ilikuwa shida tupu! Soma Pia: Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas Kuna nini kinachoendelea? Maana shida ya mtandao imekuwa kero kila siku. Tumechoka sasa !
  2. Nipe Maji

    Changamoto ya mtandao, kupiga simu mpaka upande juu ya miti, wananchi waiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu

    Wananchi wa Kata ya Unyahati wilayani Ikungi mkoani Singida wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu ili kurahisisha mawasiliano katika vijiji vyao kutokana na huduma hiyo kusuasua hivyo kulazimika kupanda juu ya miti na mawe ili kupata mawasiliano.
  3. A

    KERO Changamoto ya mtandao benki ya NMB Buhongwa

    Kuna changamoto kubwa sana na inajirudia mara kwa mara kwenye ATM za NMB Buhongwa hali inayoleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wanaotokea maeneo mbalimbali na kuna taarifa kwamba wanafanya makusudi ili watu waende kwa mawakala ambako makato ni makubwa zaidi kwani changamoto huonekana zaidi...
  4. Cute Wife

    Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

    Wakuu, ==== TAARIFA KWA UMMA Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi inajitahidi kusuluhisha kwa haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashukuru kwa uvumilivu...
Back
Top Bottom