Friedrich Merz, amechaguliwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani siku ya Jumanne, katika duru ya pili ya upigaji kura, baada ya kushindwa kwa mshangao katika duru ya kwanza mapema siku hiyo. Merz amepata kura 325 kati ya 630.
Kiongozi wa chama cha kihafidhina nchini Ujerumani, Friedrich Merz...