chama cha walimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais wa Chama cha Walimu (CWT) Bi. Leah Ulaya, asimamishwa kwa tuhuma nzito

    Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili. Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
  2. Waziri Ndalichako: Tugange yajayo, Serikali ipo tayari kufanyia Mabadiliko Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka Wadau wa Elimu Wasiwe Waoga kutoa maoni Juu ya Sheria na Kanuni zinazounda Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania. Ameyasema hayo leo tarehe 19 Jun 2021 Mkoani Dar Es Salaam wakati akipokea Maoni ya Wadau wa Elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…