chama cha upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  2. Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

    Salaam Wakuu Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani. Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi. Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime...
  3. Ni chama gani cha upinzani kimejipanga kuiondoa CCM madarakani?

    NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI? Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
  4. Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  5. T

    Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  6. Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
  7. S

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi wa CCM ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani? Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…