chama cha tlp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 TLP kuzisaka Kura kwa kaulimbiu ya ''kaza buti barabarani kuna kokoto''

    Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kimejipanga kushiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kwa kusimamisha wagombea katika kila jimbo, kata na uwakilishi Zanzibar, kikijinasibu kwa kaulimbiu yake ya “Kaza buti, barabara ina kokoto.” Soma pia: CHADEMA na TLP zaungana na...
  2. tonicimmobility

    Yustus: Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi

    Bado kuna vyama vya siasa vinasema vina imani na tume huru ya uchaguzi taifa INEC. ameskika Yustus wa TLP akisema ''Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi, tuko nayo na tunaendelea nayo” Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema anaridhishwa...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa ameupa Siku 7 Uongozi wa TLP kujibu madai ya ukiukwaji wa Katiba, Kanuni za Chama hicho

    Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, ameupa muda wa siku Saba Uongozi wa Chama cha Tanzania Labour Part (TLP), kutoa ufafanuzi wa madai ya ukiukwaji wa Katiba ,Kanuni za Chama hicho kikongwe cha Siasa Nchini kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa ofisini kwake na Wanachama wa Chama hicho Nchini...
Back
Top Bottom