The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.
Wakuu,
Hivi hiki chama cha NLD kilipata asilimia ngapi kwenye Uchaguzi Mkuu?
--------------------------------------
CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimetoa wito kwa vijana wakaopata msamaha wa rais kutokana na vurugu zilizojitokeza wakati wa uchaguzi Oktoba 29, 2025 kutotumia...
Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) Mfaume Khamis Hassan akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi ofisi za tume hiyo, Maisara Unguja Zanzibar leo Septemba 10, 2025. Picha na Jesse Mikofu
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Mohammed Doyo amesema kuingia kwake kwenye siasa si kwa sababu ya baba yake kuwa mwanasiasa bali ni maumivu aliyoyapitia akiwa mdogo.
Soma pia: Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Hassan Doyo amechukua fomu ndani ya chama hicho kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania, huku akieleza sababu ya kutaka nafasi hiyo, akibainisha vipaumbele kumi.
Doyo amesema vipaumbele hivyo atavitumia iwapo chama hicho...
Wakuu
Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha NLD Bw. Hassan Doyo kupitia Crown FM anadai
"CHADEMA yenyewe hawajaungana kwenye ajenda ya No reform, No election kwahiyo ni ngumu kuungana nao"
Pia, Soma
Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi...
Wakuu,
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea...
Wakuu,
Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema kitaendelea kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 licha ya changamoto za kisiasa.
Akizungumza Februari 23, 2025, jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa NLD, Doyo Hassan Doyo, alieleza kuwa chama hicho hakijaunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.