chama cha makini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Mgombea urais Chama MAKINI: Nitafanikisha kupanda kwa bei ya zao la Mwani kufika Tsh6,000 kwa kilo

    Wakulima wa mwani visiwani Zanzibar wameahidiwa kupata soko la uhakika na thamani ya zao hilo itakayofikia Shilingi 6,000 kwa kilo iwapo Chama Cha MAKINI kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu. Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Ameir Hassan Ameir kama inavyoripoti taarifa hii.
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Chama Cha Makini Chawaonya Watanzania Kutojihusisha na Maandamano Siku ya Uchaguzi

    Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na badala yake wajitokeze kwa wingi kupiga kura kisha kurejea majumbani kusubiri matokeo kwa amani. Kauli hiyo imetolewa na mgombea urais wa Jamhuri ya...
  3. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea ubunge wa Chama cha MAKINI Arusha awaonya Heche na Maria

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai kuwa wanatengeneza matukio yenye lengo la kuharibu taswira ya amani ya Tanzania. Soma pia: Mpina...
  4. McLaren

    Mgombea Urais chama cha MAKINI: Tukishinda tutagawa bodaboda bure

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa ajili yao ili wajiajiri.
  5. tonicimmobility

    GE2025 Kibonde: Sitapunguza Mishahara Wala Posho za Watumishi Nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema hatua hiyo inalenga kuongeza morali kazini na kuzuia tamaa ya rushwa ambayo mara nyingi huzaliwa...
  6. Waufukweni

    GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  7. Just Pray

    GE2025 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Coaster Kibonde achukua fomu ofisi za INEC

    Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Chama cha MAKINI kimeipongeza TAMISEMI kwa kusimamia vizuri Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hivi vyama vingine ndio navisikia leo. CCM E imewahi kujitokeza isije kukosa mgao wao! Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha MAKINI ambacho...
Back
Top Bottom