Wakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale...