chaji

  1. Je, wajua Simu ya Mkononi ya kwanza Duniani ilikuwa na uzito wa kilogram 2 na ilijaa chaji kwa saa 12?

    Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola. Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973 walijaribu kupiga simu kwa kutumia simu hiyo ya kwanza ya mkononi iliyokuwa inafahamika kwa jina la Motorola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…