Viongozi 15 wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar wameisusa CUF tangu Jumapil, Juni 28, 2026, wametangaza kujiuzulu kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na uongozi wa sasa.
Nawashauri CHADEMA wafanye usajili haraka sana... Chadema inahitaji watu.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi 15...