chadema ya lissu

The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.

View More On Wikipedia.org
  1. Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

    Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga. Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma. Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma. Nitawajulisha na kufanya press conference
  2. Rais akiwa anatakiwa kutambua kuwa hii CHADEMA ya sasa ni ya Lissu na sio ya Mbowe

    Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu. Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya...
  3. GE2025 CCM imeshatambua kuwa haikubaliki. Vikao vya ndani kila kona kuomba kura za huruma huku hakuna upinzani toka CHADEMA ya Lissu

    Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi. CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura Vikao vya ndani vya WanaCCM kwa wanaCCM...
  4. Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  5. Ukatili wa polisi na mahakama isio huru ni dhahiri kuwa taifa linahitaji mabadiliko. CHADEMA ya Lissu ipo sahihi

    Taifa linahitaji katiba ambayo mkuu wa jeshi hata kama akiteuliwa na raisi kama Amiri jeshi mkuu aweze kushtKiwa na kuwajibishwa kisheria. Jaji mkuu aombe nafasi hiyo kama anaomba ajira. Ili akiajiriwa asiwe na upendeleo. Sio kuteuliwa na kupendelea aliyemteua. Watu wanapigwa mahakamani. Jaji...
  6. Mashahidi watakaofichwa ambao watatumiwa na Jamhuri ni wasaliti wa CHADEMA ya Lissu. Waliogopa mabadiliko sababu ya njaa zao

    Wengi wameshajulikana na wengi wao wameshahamia CHAUMMA. Tumeshapata tetesi ni wasaliti na ndio hao walirekodi hiyo clip na kuisambaza. Lakini swali la msingi tujiulize kama kukinukisha ilikuwa ni kutoshiriki uchaguzi na kuitisha maandamano ya amani yasiyo na kikomo? Mbona kama shujaa anateswa...
  7. Laana ya kutukana watu mitandaoni, uropokaji na upotoshaji ndiyo iliyokifuta CHADEMA kwenye ulingo wa siasa

    Chadema kimejijenga kwenye misingi ya matusi, chadema wanaamini wanapata wafuasi kupitia matusi siasa za kibangi bangi kitu ambacho siyo, viongozi wao wameshindwa kabisa kudhibiti matusi bila kujua kuwa matusi huondoa heshima kwa mtu au taasisi. Leo hii CHADEMA imefutika kwenye ulingo wa siasa...
  8. CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  9. Naipongeza CHADEMA ya Lissu kwa kutopeleka muwakilishi bungeni

    Huu ni msimamo thabiti na madhubuti. Huwezi kushirikiana na wanasiasa wasiojali utu, kulinda mali za umma na wasio na huruma. Hongereni sana.
  10. CHADEMA ya Lissu ipo kwa maslahi ya umma . Haipo kwa ajili ya kuganga njaa. Ndio maana inachukiwa na watawala wa CCM

    Wanachopambania CHADEMA ya Lissu ni maslahi ya taifa letu. Kwamba kuwe na katiba ambayo itatoa haki kwa Watanzania kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanafaa kuwawakilisha. Maana yake ni kutokuwa na Bunge amabalo litakuwa kama wakala serikali ambayo haina tija kwa wananchi. Wao, wanaCCM...
  11. CHADEMA ya Lissu ni CHADEMA inayolitakia mema taifa letu

    Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi. Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi. Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda...
  12. I

    PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

    No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030 Tume ya Huru ya...
  13. Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  14. PreGE2025 CHADEMA ya Lissu imepoa mno

    Nini kimeifanya hii CHADEMA ya Lissu kuwa ya baridi hivi? Hatusikii kama Kuna Chama cha upinzani Binafsi sikutaka Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama ila Sasa nimeanza kuamini kuwa Mbowe alikuwa master wa siasa za harakati 1. CCM wameamua kuwanyima Chadema agenda Kwa Sasa utekaji umepungua na...
  15. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kaskazini: Nitawashughulikia wote wasiomkubali Lissu

    Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
  16. M

    CHADEMA ya Lissu imefifia kisiasa

    Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe. Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa. Hivi sasa CHADEMA wanaosikilikana 1. Heche 2. Lissu 3. Lema 4. Amani Kijana pekee anaesikilikana ni...
  17. M

    Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

    Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani. Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa 1. Lema 2. Lissu 3. Heche Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake. Naomba mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…