chadema tone tone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

    Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa...
  2. Tlaatlaah

    PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

    No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema? Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
  3. Pfizer

    Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo

    Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo Tone tone Changia Chadema, 0744446969 Chadema HQ
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lema: Kupitia Tone tone kutapunguza utegemezi wa Ruzuku

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lema: CCM hamtatuzuia kwenye kusudi ambalo lipo mbele yetu (Tone tone)

    CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa Updates... Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

    Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
  7. W

    PreGE2025 Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone

    Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya kwenye mkakati wa Tone Tone. Soma Pia: Godbless Lema: Mkakati wa Tone...
  9. M

    PreGE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

    Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli. Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye. Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

    Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama. Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
  11. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

    Wakuu Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff, sasa maandalizi ya Mkutano huo Mkubwa wa chama hicho yanaendelea Makao Makuu, Mikocheni...
Back
Top Bottom