Jensen Huang amejiuzulu kama rais na Mtendaji Mkuu (CEO), na mjumbe wa bodi wa Nvidia, kuanzia sasa, na kuhitimisha miaka 33 iliyobadilisha kampuni changa ya kutengeneza 'graphics-cards' kuwa kampuni kuu katika enzi za Akili Mnemba (AI). CFO wa Nvidia, Colette Kress anakuwa CEO wa muda wakati...