ccm na dola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  2. Carlos The Jackal

    Uhai wa TUNDU LISSU uko hatarini, Maneno ya Sheikh ya 'Kukata Kichwa MTU mmoja' Kwa kisingizii Cha Amani ni Taa Nyekundu !!

    Ninawaonya Ninawaonya Ninawaonya, TUNDU LISSU mlimpiga Risasi 16 Mwilin mwake ili kumuua.. HAKUFA . Majuzi, Viongozi mbalimbali Nje na Ndani ya Nchi, wameelezea Taarifa nyeti juu ya Mpango wa KUMUUA TUNDU LISSU KWA SUMU. Msivyokua na Akili, Leo mnatumia Sheikh wenu mpuuzi katika kusanyiko la...
  3. Carlos The Jackal

    Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  4. Carlos The Jackal

    Ya Ramaphosa kwa Trump , CCM na DOLA tambueni , Majaribio yenu ya kuwafumba midomo Watanzania na Wanadunia , Dunia inaona, na inatunza Ushahidi

    Unakuta Mafwele kaamua tu kwenja Uwanja wa Ndege, kumkamata Naibu Katibu Mkuu CHADEMA , Et kisa asiende Ubelgiji, akienda atahutubia ,ataichafua Nchi. Genge Hilo Hilo linawakamata Waangalizi wa kimataifa Kesi ya LISSU wanaokuja kusikiliza na kufatilia mwenendo wa Kesi , Kwa kisingizio Cha...
  5. Carlos The Jackal

    CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  6. Carlos The Jackal

    Naibu Waziri Sangu, kielelezo Cha ma CCM na Dola, katika Utawala wa Sheria, alipaswa kua tayari Kaondoshwa kwenye Uwaziri

    Moja ya matatizo yalozaliwa na CCM na Dola ni Viongozi kua Miungu watu. Kwa Fikra za huyu Naibu Waziri , Anayejiita TISS, Kitengo Cha kumlinda Rais, Sijui nayeye anahusika kwenye kupitisha Wagombea, mara yeye ni Mafia, mara atawapoteza washindan wake , ni kielelezo tosha Cha namna gan tuna...
  7. Carlos The Jackal

    Kilichotokea Ofisi za CHADEMA Nyasa ni Shambulio la Kigaidi la silaha za Kikemikali lilolenga mauaji ya Halaiki

    CCM CCM CCM hata nyinyi hamtakua salama kama mtaendeleza siasa hizi. CCM CCM CCM narudia, msilazimishe njia mloichagua kua njia ya maisha ya kisiasa. CCM CCM CCM endapo vifo vitaanza kutokea kwa wanachadema wote waliolala mahali hapo, na vifo hivo vikawa ni leo au huko mbeleni, CCM...
  8. Carlos The Jackal

    CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  9. J

    PreGE2025 1977 CCM ilikuwaga ni sehemu ya Dola sina uhakika kama 1992 Mfumo wa Vyama Vingi uliiondoa kwa sababu Usajili wa CCM ni wa 1977 Sawa na Katiba ya JMT

    Nimeona wengi mnadhani si Sawa DOLA kuingilia Kati na kuzuia No Reforms no Election Ndio nawauliza mmeisoma vizuri Sheria ya vyama Vingi na kujiridhisha CCM siyo sehemu ya Dola? Nimekaa pale 🐼😄 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
Back
Top Bottom