ccm iringa

The Chama Cha Mapinduzi (CCM; lit. 'Party of the Revolution' in English) is the dominant ruling party in Tanzania and the second longest-ruling party in Africa, only after the True Whig Party of Liberia. It was formed in 1977, following the merger of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), which were the sole operating parties in mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar, respectively.
TANU and its successor CCM have ruled Tanzania uninterruptedly since independence. The party has been described as authoritarian. Since the creation of a multi-party system, CCM has won the past six general elections in 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 and 2020. Jakaya Kikwete, its presidential candidate in 2005, won by a landslide, receiving more than 80% of the popular vote and John Magufuli as a candidate in 2020 garnered over 84% of the vote. In the 2010 election, the CCM won 186 of the 239 constituencies, continuing to hold an outright majority in the National Assembly.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Daniel Mwangili atangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Iringa Ndugu Dr Daniel Mwangili ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa, Mwangili ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Luhota Jimbo la Kalenga ameeleza nia hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Mwangili ameeleza kuwa anao...
  2. DuaZaMama

    PreGE2025 Said Goha: Mnaowatumia Wapambe Kufanya Kampeni, Kanuni ziko wazi Vikao Vya Uchujaji

    Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Said Goha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa ambapo alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuwa "ni kweli CCM Imezuia kampeni kabla ya wakati, je CCM inasema nini kuhusu wapambe hao?" Katibu Goha alieleza kiundani...
  3. W

    PreGE2025 Mjumbe wa kamati kuu CCM, Salim Asas asimikwa kimila kwa kumvalisha vazi maalum la kichifu Iringa

    Huenda yakawa maandalizi ya kujitosa kwenye ubunge nini? === Wazee wa mila wa Kabila la Wahehe mkoani Iringa, wakiongozwa na Chifu wa Kihehe, Adam Abdul Sapi Mkwawa, wamemsimika kimila Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (MCC), Salim Abri Asas, kwa kumvisha vazi maalum la kichifu na kumkabidhi jina la...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Iringa Vijijini Afanya Ziara ya Kuimarisha Umoja

    Mwenyekiti wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Ndugu Ibrahim Musiba, leo tarehe 21 April 2025 amefanya ziara maalum katika Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa , ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha mahusiano na mshikamano miongoni mwa chipukizi wa chama, pamoja...
  5. upupu255

    PreGE2025 Iringa: Issa Gavu azindua mradi wa maduka ya CCM Stendi Kuu ya zamani

    Katibu wa NEC organaizesheni na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Issa Gavu amezindua mradi wa Maduka ya chama Cha mapinduzi yaliopo stendi kuu ya Zamani huku akiwaasa wanachama pamoja na wafabiashara kuitunza milango (flemu) hizo. Akizungumza wakati wa Kuzindua na kuweka jiwe la msingi flemu hizo...
  6. upupu255

    PreGE2025 Katibu wa CCM Iringa awataka Viongozi kudumisha Umoja na Mshikamano kuelekea Uchaguzi

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Saidi Goha, akiambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoa, ameendesha semina kwa viongozi wa chama na jumuiya zake kuanzia ngazi ya matawi na kata katika Wilaya ya Iringa Vijijini. Katika mkutano huo, Goha alieleza kufurahishwa na...
  7. Just Pray

    PreGE2025 CCM Iringa yakanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wilaya ya Iringa juu ya kupewa kipaumbele wabunge na madiwani walipo madarakani kuelekea uchaguzi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Iringa Zainab Mwamwindi aongoza kikao cha kamati ya utekelezaji mkoa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Ndugu Zainab Mwamwindi hivi leo Februari 15 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UWT Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ofisi za UWT Mkoa wa Iringa.
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Iringa: Watiania wanaojipitisha majimboni kabla ya muda waambieni tutawafyeka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha katika Kata na Majimbo na kujitangaza na kuomba ushawishi kwa wajumbe kabla ya muda kutangazwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Iringa yatoa onyo kwa wanaobeza Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Naona mambo yanazidi kunoga tu! =============== Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Katibu Mwenezi CCM Iringa awahimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
  12. M

    TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Asas atoa Smartphone 18 kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini kwa njia ya Kielekroniki. Soma...
Back
Top Bottom