ccm gala dinner 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

    Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
  3. GE2025 Rais Samia achangia milioni 100 CCM gala dinner 2025

    Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…