Wakuu,
Hili suala la watu maarufu kutaka kuwa wabunge na kuacha kazi walizonazo naona huyu jamaa ameielezea vizuri sana.
Huyu ni Wakili anaitwa Emmanuel Ukashu ameelezea kwanini watu maarufu wanapenda kuwa wabunge. Hapa walikuwa kwenye mjadala hapo TBC uliofanyika a few days ago
Msanii na mchekeshaji maarufu nchini, MC Pilipili, ameonyesha dhamira ya kutumikia wananchi kwa vitendo baada ya kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Tambukareli, Jimbo la Mtumba, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia...
Wakuu,
Kwahiyo Mkutano Mkuu upo kama jiwe, limeshakauka haliwezi kufinywangwa? Wenzetu kwenye Mkutano Mkuu ni malaika hawawezi kukosea? Ikisemwa ndio imetoka hiyo?😂😂.
Mpaka Makalla anatetemeka ugali usije kukatishwa shughuli yake ikaisha? :BearLaugh:
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.