Maoni
Habari za leo wadau,
Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu
1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi ya 3% kwa miamala mikubwa (100k +).
Ili ifanikiwe, serikali ilipaswa kuondoa kabisa kodi kwenye...