Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
Nashauri tuanze mapema kutoa sababu za kutolewa kwani Waarabu watambikiri Mtu kote kote Dar na Cairo Kudadadeki. Asanteni sana CAF kwa hii Draw na sasa tutaheshimiana. Kweli CAF safari hii wameamua Kumkomoa Mtu hadi Akili zimkae sawa.
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila
Je Yanga leo watapindua...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola
Je...
Japo si kwa 100% of course doubts kidogo zilikuwepo kutokana na uwepo wa giants kama Al Ahly na Mamelodi,
Lakini nilipotazama mchezo wa pyramids dhidi ya esperansa nilisema kwakweli isingekuwa fair kwa football kama hawa Pyramids hawatakuwa mabingwa wa CAFCL, Nilipata uhakika zaidi baada ya...
Match Day
Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025
2000hrs
VIKOSI VYA LEO
Pyramids
Mamelodi
Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!!
Mchezo umeshaanza!
Fiston Mayele anawapatia goli safi Pyramids dakika 23
Dakika 7 zimeongezwa kufidia...
Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld.
Kaa nami hapa kwa matukio ya kusisimua kuhusu mechi hii kali
Tayari Kombe lipo uwanjani
Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza...
Wakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya...
Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi!
Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti kocha hajawai kuwa kocha mkuu, ataiwezaje Simba! Niliwahi waambia watu kuwa ubuyu ulianza Kama mchicha...
Klabu ya Al Ahly imemtimua kocha wake, Marcel Koller siku moja baada ya timu hiyo kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Katika taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Aprili 26, 2025 uongozi wa Al Ahly umethibitisha kuwa umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba...
Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza...
Kuna wakati inabidi mashabiki wa Simba wawe na shukrani, Maana kama hiki ndicho kikosi chao cha kwanza, na aina hii ya uchezaji, basi nina uhakika 100% wasingeweza kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Mabingwa wa bara la Afrika.
Wanapaswa kuoshukuru sana Azam na kushukuru kudondokea...
"Sijaskia Wachambuzi na Waandishi wakiliongelea hili lakini Young Africans SC mpaka sasa imeshakata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Klabu bingwa Afrika msimu ujao na ndio malengo na shauku ya kila mwanayanga ilipo, sisi Yanga hatuwezi kujiliza kwenye Kombe la Shirikisho ni Kombe ambalo...
🚨𝙂 𝘼 𝙈 𝙀 𝘿 𝘼 𝙔🚨
⚽ Mamelodi Sundowns vs Al Ahly FC
📆 19 April
⏰ 16H00
🏟 Loftus Versfeld Stadium
Mtanange mkali sana huu!
Mimi nitakuwa tayari kuwapa updates zote muhimu kwa Siku ya leo.
Binafsi nawatakia Masandawana Kila la heri.
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
Mamelodi Sundowns
Al Ahly...
Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24.
Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema...
Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC
itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025.
Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.