cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

    Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani Zanzibar. Mchezo huo utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni. Kaa karibu kwa Live updates Asubuhi...
  2. Goli la Mama Nusu Fainali CAFCC: Milioni 20 kwa goli moja

    Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni. Sipendezwi na hizi kampeni
  3. Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally: Yanga SC ilifuzu Fainali CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti ila Simba SC imefuzu kwa Kucheza na Wanaume wa Kweli

    "Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika Ligi Kuu za Kwao au hata zimeweza tena kuwepo CAFCC kwa Msimu huu. Simba SC tuna haki ya Kujivunia...
  4. Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

    Washamba na Wapumbavu wa Sayansi ya Mpira tuendeleeni tu Kudanganywa na Kuaminishwa ili Tuwatajirishe J'5 Oky?
  5. Wakati watani zao Yanga sc wakiendelea kuzozana na TFF, Simba sc yatua salama Misri tayari kuwavaa Almasry CAFCC

    Wakuu ikumbukwe Taifa hili la Tanganyika huwa linapeleka jumla ya timu nne kwenye michuano ya kimataifa. Caf Champions league timu mbili na Cafcc timu mbili, katika hali ya kushangaza ni timu moja pekee tu ndio imesalia kwenye michuano hiyo ya kimataifa. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuwekeza...
  6. Droo ya robo fainali ya CAFCL & CAFCC itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha Alhamisi, Februari 20, 2025.

    Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025. Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
  7. P

    FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi Mechi hiyo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani ndio itakayoamua nani ataongoza kundi lao. CS Constantine wapo nafasi ya...
  8. Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

    Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter
  9. H

    Tips of the Day CAFCL na CAFCC, kaeni humu tumfilisi muhindi leo

    1.Bravo vs Simba Bravo double chance✅✅ 2.Al hilal vs Yanga Yanga double chance✅✅ Mpe double chance Bravo na Yanga upate hela za bure
  10. Hesabu mpya Simba ameshafuzu kwenda robo fainali

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA✍️ Najua utastaajabu kwanini nakwambia ameshafuzu. Hesabu hiko ivi:- Kwanza kabisa unapaswa kutambua kuwa simba ana point 9 huku adui yake namba moja ni blavos mwenye point 6. Simba mpaka sasa anahitaji hata sare pekee nyumbani kwa Bravos awe amefuzu moja kwa moja...
  11. Nyota 22 Simba kuifuata CS Constantine Algeria, CAFCC

    Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine. Kikosi kitaondoka na nyota 22 kuzisaka pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mohamed Halaoui Desemba 8 kuanzia saa 1:00...
  12. Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  13. S

    Kama Yanga inabebwa na waamuzi, kwanini Simba walifumua karibu kikosi kizima? Na je, waamuzi wa CAF nao wanaibeba Yanga iliyofika fainali ya CAFCC?

    Tangu msimu uliopita, Simba wamekuwa wakilaumu waamuzi kuwa wanaibeba Yanga na huku Mfadhili wa Yanga, Bwana GSM akibebeswa lawama zaidi. Mbali na waamuzi, pia wamekuiwa wakiilaumu TFF kuwa inashiriki kuihujumu Simba. Tukiacha haya ya humu nchini, wakati Yanga anafika mpaka fainali ya CAFCC...
  14. Yanga hamna kitu; Kombe la shirikisho (CAFCC ) mnaliponda alafu hapo hapo mnalisifia

    Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza. Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani Ila kinachoniacha...
  15. CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  16. FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  17. Simba ni timu ya kwanza katika historia kuanzia ugenini dhidi ya Waarabu

    Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo. Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu...
  18. FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
  19. Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika. Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
  20. Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    *Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…