bunju a

Bunju (Kata ya Bunju, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. Mbweni ward forms the ward's northern boundary. The ward is bordered by Kunduchi to the east. The ward is bordered by Wazo to the south and Mabwepande to the west. According to the 2012 census, the ward has a population of 60,236.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalali wa Mjini

    Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

    Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road. Eneo linatazama barabara kuu ya Lami. Wamiliki WA eneo wapo watatu. Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja. Mmiliki mmoja anauza milion 300 Mmiliki wa pili anauza milion 300 Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana. Mmiliki wa tatu anauza...
  2. Sonship

    Kiwanja kinauzwa Bunju A

    Kiwanja kinauzwa Bunju A. Sqm 500 bei mln 13 Kipo mtaa mzuri sana Documents zipo 0775 179905
  3. Blaszczykowski

    Kiwanja kinauza nusu Heka - Dar es salaam - Bunju A

    Habari . Kiwanja kinauza takribani nusu heka kipo Dar es salaam -wilaya kinondoni -Bunju A karibu na Sarafia school. Price - 95m maongezi yapo -kutoka bagamoyo road mpaka site NI DK 10 Tu ( mtaa WA madoctor ) Full document zipo ukitaka kupaona anytime nipo apa Bunju WhatsApp / call 0715160365
  4. M

    KERO Bunju A Dar es salaam, tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa sugu

    Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A. Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A. Ukiuliza wanajibu hitilafu!. Hii hitilafu ambayo haina mwisho ni hitilafu gani?
  5. Cute Wife

    KERO Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hatuna maji wiki ya 2 sasa, kuna mgawo?

    Wakuu, Wizara ya Maji nawasalimu. Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na hatupo kwenye jangwa? Mpaka tuanze kununua ndoo moja elf 2 ndio mfurahi? Kama kuna mgao useme, na...
Back
Top Bottom