bunge la dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Tuiombe Dunia Imfukuze Tulia Kwenye Nafasi ya Spika wa Umoja wa Mabunge Duniani.

    Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji. Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
  2. GoldDhahabu

    Kama maazimio ya bunge la EU limeleta kiwewe, itakuwaje bunge la dunia litakapotoa tamko?

    Inasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini! Nafikiri, kiitifaki, Umoja wa mabunge duniani ni kubwa zaidi kuzidi bunge la EUE! Ikiwa bunge la EU "limeitetemesha" nchi, itakuwaje pale Umoja wa mabunge...
  3. M

    Tulia Ackson kwenye Bunge la Dunia amejibu maswali vema sana. Ila ni vema adhibiti 'emotions'

    Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana. Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika. Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili...
Back
Top Bottom