bunge la 12

Bunge & Born was a multinational corporation based in Buenos Aires, Argentina, whose diverse interests included food processing and international trade in grains and oilseeds. It is now known as Bunge Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025 https://www.youtube.com/watch?v=8Orl0SHsmP8 Orodha ya Shughuli za Leo Dua Hati za kuwasilisha mezani Maswali
  2. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  3. Bunge la 12, Mei 27, 2025: Dkt. Gwajima anawasilisha Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jijini Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=wWgJjQl26cg Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Dorothy Gwajima anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  4. Bunge la Mei 26, 2025: Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba zaidi ya Trilioni 2/- kwa Bajeti ya Mwaka 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=cRKUyHuLjzA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei...
  5. Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba TSh 476.6 bilioni Bungeni, kamati yalilia fedha za maendeleo

    https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei 23, 2025. Dk Ashatu ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh476.6 bilioni yenye vipaumbele vinne ambapo...
  6. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 30, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=XOU1mTLJLdw
  7. Wizara ya Kilimo yaomba kuidhinishiwa Bajeti ya TSh Tril. 1.24 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=sOC6TgEjbr8 Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha Bajeti ya mwaka 2025/26 amesema; "Ukuaji wa Sekta ya Kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa Sekta ya Kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka...
  8. Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  9. Wizara ya Maliasili na Utalii yaomba Bunge kuidhinishia Shilingi Bilioni 359.9 kwa mpango wa 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025-2026. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana Wakati akiwasilisha hotuba kuhusu...
  10. Wizara ya Mawasiliano yaomba kuidhinishiwa Shilingi Bilioni 291.5 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=eGdtJa7p75I "Sekta ya Mawasiliano na TEHAMA imekua kwa...
  11. Bunge lapitisha Bajeti ya Trilioni 2.74 kwa Wizara ya Uchukuzi 2025/26

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 leo tarehe 15 Mei, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=Pz75rT22ofQ Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameeleza kuwa Serikali...
  12. Waziri Jafo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Viwanda na Biashara 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025. Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
  13. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 23, leo Mei 13, 2025

    https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
  14. Waziri awasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka 2025/26

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
  15. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  16. Waziri Aweso: Kati ya Vijiji 12,318 ni Vijiji 1,500 tu ambavyo havijafikiwa na huduma ya maji

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso leo Alhamisi tarehe 8 Mei 2025, atawasilisha Bajeti ya Mageuzi Sekta ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 Bungeni jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/u309s_YjOQc?si=PnE9QNFGBwbC6PIJ Mafanikio ya Sekta ya Maji yamechochewa na Uongozi wa Rais Samia na...
  17. Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66 Bilioni kwa mwaka 2025/2026

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 19 Mei 7, 2025 Orodha ya shughuli za leo; Hati za kuwasilisha mezani Maswali Hoja za serikali https://www.youtube.com/live/Z7LMt6ndXVk?si=u8pvAkprKa6Kt03l Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka...
  18. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025 https://www.youtube.com/live/jisddABy9Sw?si=ZPv7ivAftZBx_pFm
  19. Wizara ya Ujenzi yaomba kuidhinishiwa TSh. Trilioni 2.28 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo leo atawasilisha Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. Waziri Ulega amefuatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi...
  20. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…