brela tanzania biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Huduma bora ya usajili kampuni na jina la biashara

  2. JamiiForums Tanzania Je, kampuni yako ipo salama? Usipuuze hili!

    1/ 📢 KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA! BRELA imetoa tamko rasmi kuwa kampuni zote zinapaswa kuwasilisha taarifa za umiliki wa mwisho wa faida katika kampuni (Beneficial Ownership Information). Muda wa mwisho: 15 Aprili 2025. 🚨 2/ Hili ni hitaji la kisheria chini ya Sheria ya Makampuni...
  3. JamiiForums Tanzania KERO BRELA msicheleweshe maombi ya wawekezaji kisa mtu hajatoa chochote

    Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3 kama hutoi chochote. Msifanye rushwa kua kitu cha lazima ili mtu akamilishe mambo yake hasa yakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unakwamishwa kuanza biashara yako leo?

    Karibu Day Dreamer Tz Consultancy, watatuzi wa changamoto zako kwenye: 1. Usajili wa Jina la Biashara Brela - Tunakusaidia kusajili jina la biashara lako kupitia BRELA (Business Registrations and Licensing Agency). Hii ni hatua muhimu ya kisheria inayokuwezesha kufanya biashara kwa jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…