Hii ishakua taabu. Phase 3 ya covid-19 imezua mtata sasa baada ya Rais Kenyatta kuagiza kufungwa(Partial Lockdown) kwa miji/mikoa hii;Nairobi,Machakos, Nakuru, Kajiado na Kiambu, kutokana na ongezeko la maambukizi haya tata.
Sehemu za kuabudu, shule(isipokuwa wale wanaofanya mtihani wa mwisho...